Thursday, January 24, 2008

Uteuzi wa Rais Kenya

Pale nchi ya Kenya kuna matatizo kuhusu uteuzi wa rais Kenya. Baada ya uchaguzi watu wawili, Mwai Kibaki na Raila Odinga wanasema yeye mwenyewe ni rais!

Unafikiri nini ni njia bora kwa Kenya kuchukua kunia shida hii, na kwa nini unafikiri wazu huu?

Wednesday, January 16, 2008

Cultural Presentation

Tafadhali andika wazo zao kuhusu Cultural Presentation kabla ya darasa Alhamisi.

Asante, Zuri

Saturday, January 12, 2008

Uteuzi wa Mgombea wa Urais Marekani

Hamjambo?

Ningependa kusikia maoni yenu kuhusu mada hiyo hapo juu. Kwa wakati huu wanasiasa wengi wa Marekani wanataka kura ili kuchaguliwa kuwa wagombea wa urais wa vyama vyao (Wanademokrasia-Democrats na Wanajamhuri-Republicans). Kwa maoni yako ni nani watateuliwa (will be nominated) na unafikiri ni kwa nini?