Friday, April 27, 2007

Minor

Habari zenu...
Ninatumaini kwamba mnakuwa na wikiendi njema!

Ninaomba kujua nani mtafanya minor kwa Kiswahili, au nani mtafikiri kuhusu kufanya minor. Sijui kama nitaweza labda kwa sababu nitahitaji kufanya madarasa maAfrika mengi, lakini ningetaka kujibu kufanya minor...

tutonana wiki ijayo!
kwaherini,

Cheka

Monday, April 23, 2007

Wikendi

Habari rafiki wa darasa la kiswahili!
Nilikosa darasa Jumatatu na Jumanne kwa sababu nipo katika Palm Springs na familia yangu. Niliweza kutembea rafika yanga anaishi katika LA. Anaitwa 'Michaella' na tuliishi pamoja wakati wa tulikaa kwa Tanzania. Tulizungumza kuhusa Masaai, kikumbuko, na kadhalika. Tunafananana sana. :)

Sasa, ninakaa katika nyumba ya AL CAPONE--jambazi ya 1940s. Alipokuwa jambazi, Al Capone alitembelea hapa kupumzika na mpenzi. Hapa ni pazuri sana.

Tutaonana,
Sesi

Sunday, April 15, 2007

Chuo Changu

Habari zenu? Naamini kuwa mnaendelea vizuri na masomo. Ningependa kusikia maoni yenu kuhusu chuo chenu. Asanteni.