Monday, April 23, 2007

Wikendi

Habari rafiki wa darasa la kiswahili!
Nilikosa darasa Jumatatu na Jumanne kwa sababu nipo katika Palm Springs na familia yangu. Niliweza kutembea rafika yanga anaishi katika LA. Anaitwa 'Michaella' na tuliishi pamoja wakati wa tulikaa kwa Tanzania. Tulizungumza kuhusa Masaai, kikumbuko, na kadhalika. Tunafananana sana. :)

Sasa, ninakaa katika nyumba ya AL CAPONE--jambazi ya 1940s. Alipokuwa jambazi, Al Capone alitembelea hapa kupumzika na mpenzi. Hapa ni pazuri sana.

Tutaonana,
Sesi

No comments: