Ninafikiri mtihani leo ilikuwa safi sana. Tulitumia Nge, na Msamiati wa wiki ya kwanza, na Vivumishi pia. Nilikuwa na shida kidogo kwa sababu sijui maneno mengi ya vivumishi. Je, mnafikiri kwa msamiati ya wiki hii, tunaweza kuwa na msamiati yote ya maneno ya vivumishi?
Zuri
Monday, October 29, 2007
Thursday, October 18, 2007
Wiki hii
Wiki hii, kama kawaida, ninakuwa na kazi nyingi. Nilienda kwa darasa yote ya uhandisi lakini sitajua vitu vyote kuhusu mitihani ya jumatatu. Sipendi kuandika insha kwa sababu sitakuwa msanii lakini ninapasa kuandika insha nyingi wiki hii. Kesho jioni nitasherehekea pamoja na rafiki wangu wa bweni langu. Kwa wikendi hii nitakula mbuzi pamoja na wakenya. Baada ya kula mbuzi ninapasa kumnunua. Sasa nitafanya kazi na halafu nitalala fofofo.
Zuri
Zuri
Subscribe to:
Posts (Atom)