Monday, October 29, 2007

Mtihani na Vivumishi

Ninafikiri mtihani leo ilikuwa safi sana. Tulitumia Nge, na Msamiati wa wiki ya kwanza, na Vivumishi pia. Nilikuwa na shida kidogo kwa sababu sijui maneno mengi ya vivumishi. Je, mnafikiri kwa msamiati ya wiki hii, tunaweza kuwa na msamiati yote ya maneno ya vivumishi?

Zuri

2 comments:

Kusai said...

Ninakubali na Zuri kuhusu msamiati wa wiki hii. Ninataka kujifunza vivumishi zaidi ili kuzumgumza watu na situmii "zuri" au "baya".

Sikufikiri mithani janaa ilikuwa mgumu kabisa. Tutaiona lakini nilifurahi kuweza kuielewa.

Ninafikiri kwa tunahitaji kusoma msamiati zaidi kwa sababu kwa kawaida wakati ninataka kusema kitu nina shida na msamiati zaidi ya nina shida na sarufi.

mohochi said...

Nafurahi kuona kuwa Kusai pia amejiunga na blogu. Tafadhali tuendelee kuandika. Nadhani tutafanya mazoezi zaidi ya vivumishi.

Tutaonana baadaye.