Friday, December 7, 2007

Mwisho wa Muhula

Baada ya wiki moja tutakuwa na likizo fupi! Kabla ya likiza fupi hii ninapasa kuandika mitihani ya uhandisi na kiswahili. Wakati wa likizo nitafurahi kabisa.

Zuri

Sunday, December 2, 2007

ALA! Kazi!

Ninafikiri kila mwanafunzi wako maktabani leo usiku. Nimeandika insha yangu ya "Explaining Ethnic Violence" kuhusu Malawi kwa muda wa saa kumi leo na nitaanza na kiswahili sasa.

Nilienda kuona chezo kubwa janaa na ilikuwa nzuri kabisa kushinda. Nilikaa kati ya mtu anayokunywa sana wakati walicheza na karibu na mwisho wa mchezo, yeye na mtu wa Cal walipigana mpaka mapolisi walija. Nafikiri wote wawili hawajambo baada ya walipigana. Sikuweza kujanga mwanafunzi wa Cal kwa sababu mtu wa Stanford alilewa kabisa na alikuwa mkali.

Baada ya mchezo nilienda kusherehekea kwa hivyo nilihitaji kufanya kazi leo.