Friday, December 7, 2007

Mwisho wa Muhula

Baada ya wiki moja tutakuwa na likizo fupi! Kabla ya likiza fupi hii ninapasa kuandika mitihani ya uhandisi na kiswahili. Wakati wa likizo nitafurahi kabisa.

Zuri

1 comment:

claire said...

Nimemaliza na mitihani leo mchana! Nimefurahi sana! Sasa, ninahitaji kwenda uwanja wa ndege kupeleka rafiki yangu ambaye ataondoka sasa hivi. Halafu, nitarudi kufanya sherehe kidogo na rafiki zangu zingine. Nitakaa hapa mpaka jumatatu, kwa hivyo labda nitaenda Tahoe jumapili na rafiki yangu. Jumatatu, nitarudi nyumbani pale Seattle kutembelea familia yangu kwa Krismasi.

Kwaherini wote, na likizo njema! Tutaonana mwaka ijayo!

~ Furaha