Mimi nafikiri itakuwa poa kupika chakula ya Afrika Mashiriki wote pamoja. Kila mwanafunzi anawezu kuzungumza kuhusu chakula chake, kuhusu ingredients na kupika na historia ya chakula chake.
Wazo nyingine ni kufanya play nyigine. Ilikuwa project nzuri!
Mimi ninafikiri tunahitaji kufanya maisha ya mmarekani katika Kenya kama tunlisema darasani. Labda tunaweza kusema anasoma katika Chuo Kikuu cha Nairobi na ana shida na wasichana pale. Labda anahitaji kulima lakini hawezi kwa sababu hajui jinsi gani kupanda miboga.
2 comments:

Post a Comment