Pale nchi ya Kenya kuna matatizo kuhusu uteuzi wa rais Kenya. Baada ya uchaguzi watu wawili, Mwai Kibaki na Raila Odinga wanasema yeye mwenyewe ni rais!
Unafikiri nini ni njia bora kwa Kenya kuchukua kunia shida hii, na kwa nini unafikiri wazu huu?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
5 comments:
Nafikiri njia bora kwa Kenya kuchukua kunia shida hii, ni kufanya uchaguzi ya rais tena. nafikiri wazo huu kwa sababu nafikiri kwamba waKenya wanataka kujua nani ni rais kwa kweli na pia kwa sababu hali ya sasa pale ni mbaya kabisa.
Nakubaliana njia bora kwa Kenya kunia shida ya uteuzi huu ni kupiga kura tena. kuna shida nyingi na mpango huu. Kwanza, wagombea wanatakiwa kubaliana wazo huu ni nzuri. Nyingine, ni lazima kuzuia shida huu kutokea tena.
Jibu lingine ni wagombea wanashirikiana ili wamiliki Kenya pamoja, lakini pengine jibu hili haliwezekani.
Mnataka mwe nini wakati ujao?
Hamjambo wote! Habari za wikendi? Nilifikiria kuhusu ninyi wikendi hii, na nilitanabahi nisijue nini mnataka mwe wakati ujao. Mimi, ningependa kuandika au kuumba sera ya afya kimataifa. Msiulize - sitaki kuwa dakta. Ningependa kuwa mwanasheria ambaye anajua mambo mengi kuhusu sheria ya dunia na ya haki za watu. Kwa hivyo, nilisoma historia mpaka mwaka huu, na sasa, ninasoma elimu jamii (hasa kuhusu siasa linganishi) ili nifahamu hali ya dunia nzima.
Na nyi? Mnataka kuwa nini wakati ujao? Na kwa nini?
Tutaonana kesho!
~Upendo
Ninafikiri ni muhimu kuhifadhi kuna ushahidi kufikiri Odinga alipemba pia, kwa hivyo sifikiri watu wanaweza kuamini Kibaki au Odinga na hawawezi kuwa na uchaguzi tena.
Ninfikiri Kabaki anahitaji kuona hatataka kuwa kiongozi cha Kenya kama kuna dhara nyingi na ili kusimama mauaji atahitaji kugawa nguvu na Odinga. Hawatawezi kufanya kazi pamoja kweli na itakuwa shida lakini itasimama mauaji na labda baadaye wanaweza kukubaliana.
Nakubali na Cheka, kwa sababu nafikiri pia njia bora kupata mwafaka wa shida hii ya siasi. Uchaguzi hii ulitiwa mwako wa kisiasa kabisa, ambayo ni muhimu kwa sababu wakenya wengi sana wanaaimini kwamba uchaguzi ya kwanza sio haki. Hivyo, Kenya haiwezi kupata amani zima mpaka wanamini kwamba mwafaka wamepatwa.
Post a Comment