Je, shida kubwa zaidi ya afya katika Afrika Mashariki ni nini? Ni malaria, kifua kikuu, UKIMWI, or wengine?
Nafikiri tatizo kubwa ni kuharisha. Ukosa wa maji safi wanasabibisha
ugonjwa wengi katika Afrika. Ugonjwa wa maji chafu unaua watu 2.2
milioni kila mwaka. Ugonjwa huu unazuilika kwa urahisi. Tatizo
lengine jinalozuiwa kwa urahisi ni kifa wakati wa uzalishi.
Mwanamimba wanahitaji tibu.
Sunday, February 24, 2008
Friday, February 15, 2008
Wazo ya Likizo kutoka Cheka
Kwa kazi katika blogu kwa wiki hii, tunaweza kuandika kuhusu likizo ambalo tungependa kufanya kama utapata pesa nyingi sana kusafiri. Je utaenda wapi? Kwa nini? Kwa muda gani? na kufanya nini?
Kwa mimi, ninafikiri ningependa kusafiri kwenda Tanzania tena ambapo nitanunua mandolin na kuendesha mpaka Afrika Kusini. Nitaenda kwa safari hii pale na kaka yangu na labda rafiki mojo au mbili. Itachukua labda mwezi sita au zaidi. Ningependa kwenda katika safari hii kwa sababu ninapenda sana kusarifi na kaka yangu na pia napenda sana Afrika na nataka kusafiri zaidi katika kontinenti huyu.
Mnaenda wapi?
Kwa mimi, ninafikiri ningependa kusafiri kwenda Tanzania tena ambapo nitanunua mandolin na kuendesha mpaka Afrika Kusini. Nitaenda kwa safari hii pale na kaka yangu na labda rafiki mojo au mbili. Itachukua labda mwezi sita au zaidi. Ningependa kwenda katika safari hii kwa sababu ninapenda sana kusarifi na kaka yangu na pia napenda sana Afrika na nataka kusafiri zaidi katika kontinenti huyu.
Mnaenda wapi?
Monday, February 11, 2008
Ugonjwa
Sijui nini kuzumgumza hapa. Mimi, sijui kwa nini, ni mgonjwa kila siku tuna mtihani wa kiswahili, hata leo. Nilienda wiki iliopita kutembelea daktari kuondoa jino langu (my wisdom tooth) na halafu wikendi uliopita nilianza kuwa mgonjwa mdogo, lakini shida si na meno yangu. Nina kikohozi kibaya sasa. Ni mgumu kusoma na kulala lakini shule haitasimama kwa hivyo si rahisi kuwa mgonjwa. Labda, kwa sababu tunazumgumza ugonjwa katika darasa, ninaweza kuuliza kama ulikuwa mgonjwa wakati umekaa hapa Stanford. Na ulifanya nini? Vaden si nzuri.
Monday, February 4, 2008
Mnataka mwe nini wakati ujao? (kutoka kwa Upendo)
Mnataka mwe nini wakati ujao?Hamjambo wote! Habari za wikendi? Nilifikiria kuhusu ninyi wikendi hii, na nilitanabahi nisijue nini mnataka mwe wakati ujao. Mimi, ningependa kuandika au kuumba sera ya afya kimataifa. Msiulize - sitaki kuwa dakta. Ningependa kuwa mwanasheria ambaye anajua mambo mengi kuhusu sheria ya dunia na ya haki za watu. Kwa hivyo, nilisoma historia mpaka mwaka huu, na sasa, ninasoma elimu jamii (hasa kuhusu siasa linganishi) ili nifahamu hali ya dunia nzima.Na nyi? Mnataka kuwa nini wakati ujao? Na kwa nini?Tutaonana kesho! ~Upendo
Subscribe to:
Posts (Atom)