Monday, February 11, 2008

Ugonjwa

Sijui nini kuzumgumza hapa. Mimi, sijui kwa nini, ni mgonjwa kila siku tuna mtihani wa kiswahili, hata leo. Nilienda wiki iliopita kutembelea daktari kuondoa jino langu (my wisdom tooth) na halafu wikendi uliopita nilianza kuwa mgonjwa mdogo, lakini shida si na meno yangu. Nina kikohozi kibaya sasa. Ni mgumu kusoma na kulala lakini shule haitasimama kwa hivyo si rahisi kuwa mgonjwa. Labda, kwa sababu tunazumgumza ugonjwa katika darasa, ninaweza kuuliza kama ulikuwa mgonjwa wakati umekaa hapa Stanford. Na ulifanya nini? Vaden si nzuri.

6 comments:

Zuri said...

Kwa kawaida sitaki kuwa mgonjwa. Mamangu ni daktari na kila mwezi analeta dawa nyingi. Kuna biashara moja hapa inaitwa Tress-Ex na pale unaweza kununua dawa mbalimbali.

Wakati moja nilikuwa mgonjwa wa meno na nilienda kwa daktari wa meno kwa njia ya Welch. Alikuwa daktari mzuri na hakuleta mimi kulipa bei chochote.

Nafikiri unaweza kwenda kwa Hospitali ya Stanford, lakini sijui kama itakuwa ghali au hapana.

Ugua pole Kusai.

Deshka Foster said...

Ngiyo, pole sana Kusai!
Kuwa mgonjwa ni kitu kibaya sana hasa wakati uko shuleni.

Mimi ninapata pia mgonjwa nyingi sana kila mwaka. Wakati nilikuwa Tanzania kiangazi kilichopita nimepata malaria na pneumonia na mara sawa sawa. Ilikuwa mbaya sana, nilikuwa na uumwa kwa kitchwa na homa na mafua mabaya.

Hata hapa ni mbaya kupata mgonjwa pia, hasa kwa sababu Kusai amaliviosema, hakuna tibu mzuri katika Vaden na kama Zuri amesema, huwezi kwenda Hospitali ya Stanford bila kuona mtu katika Vaden kwanza na kupata reference.

Poleni jamani!

Lena said...

Mara chache, unapofanya kazi ya tiba, unasahau watu wanavyohisi wanapokuwa wagonjwa. Ni ngumu sana kuwa mgonjwa unapotakiwa ufanye kazi pia.

Bega ya rafiki yangu ilihitaji kutengezwa, kwa hivyo alikuwa na surgery. Ilipasa nimendeshea baada ya harakati. Lakini tulikuwa na shida nyingi tulipojaribu kufikiana. Nilimtafuta rafiki yangu kwa masaa matatu. Hii ilikuwa tatizo kubwa.

Upendo said...

Ugua pole Kusai!

Mimi ni mgonjwa sasa kwa hivyo kweli ninaweza kufahamu kifungu chako kabisa. Katika Chuo Kikuu Cha Stanford ni ngumu sana kuwa mgonjwa kwa sababu maisha itaendelea bila wewe! Utakosa mitihani na mikutano mingi kama ukijaribu kupona. Sisi sote tunajua kwamba ili kupona unahitagi ulale, unkunywe maji mengi, na uache kazi mpaka upone, lakini si rahisi kufanya hapa Stanford. Kwa hivyo tunanunua dawa na kujaribu kuamini tuko sawa.

Hata mimi, sasa ninajua nifanye nini kupona lakini siwezi. Nina kazi nyingi kumaliza kwanza. Haiachi.

Basi ninapaswa nirudi kufanya kazi.

Poleni wote lakini!

mohochi said...

Inaonekana kwamba nyote mna kazi nyingi sana, na mnpougua hali inakuwa mbaya zaidi kwa sababu ya kazi kuendelea kuongezeka. Poleni sana lakini najua kuwa 'baada ya dhiki ni faraja'. Kwa hivyo jikaze na baadaye mtayafurahia maisha yenu. Nawaombea afya njema.

Ninafurahi sana ninaposoma mawazo yenu katika blogu hii. Tuendelee vivyo hivyo

claire said...

Upole sana Kusai!

Sijui kwa jinsi gani, lakini nilimisi mada hii mpaka sasa, kwa hivyo nitaandika kuhusu ugonjwa sasa. Kama wewe Kusai, kwa kawaida nitakuwa mgonjwa wakati wa mitihani au ninapokuwa na kazi nyingi sana kufanya. Kwa mfano, mwaka huu nilisaidia kupanga kangamano kuhusu afya ya kimataifa ya wanawake. Wikendi ya kangamano, niliumwa sana, kwa sababu sikuweza kulala kwa masaa mengi, na nilihitaji kutengenza shida nyingi bila wakati kupumzika. Kama Kusai ameshasema, ni vigumu sana kupumzika kwa sababu kazi haiwezi kutusubiri kupona!

Ni kweli, Vaden ni nzuri sana. Baba yangu ni daktari pia, halafu ninamjibu maswali mengi kuhusu ugonywa wangu na ananisaidia kupata dawa nzuri. Ninaweza kusubiri kurudi nyumbani Seattle pia, kwa sababu daktari yangu pale Seattle ni mzuri sana. Lakini, ninapokuwa na ugonjwa baya sana hapa, ninakwenda Vaden ingawa si nzuri.

-Furaha