Kitu ambacho unapenda bora kufanya nje ya darasa...
Hamjambo wote! Wikendi hii nilienda katika "campsite" karibu na La Honda pamoja na marafiki wengi kuwa na "counselor retreat" kwa Camp Kesem. "Camp Kesem" ni jina la kambi ambapo ninafanya kazi kila mwaka. Kuna watota mia moja na hamsini na "counselors" (wote ni wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Stanford) sitini ambao wanakuja kambini kwa wiki moja tu kila mwaka. Watoto wote wamekuwa na angalau mzazi mmoja ambaye amekuwa na au ana kansa. Ni wiki muhimu sana kwa watoto na sisi wanafunzi wa chuo pia. Tunakuwa marafiki kwa kweli.
Tangu nilipofika katika Stanford, kambi hii ni kitu ambacho kinapendwa nami zaidi ya shuguli nyingine. Wakati nitaacha kuwa mwanafunzi ya Stanford, nitasikitika sana kwa sababu sitaweza kurudi katika "Camp Kesem."
Na ninyi? Nini ni shuguli kwamba unapenda kufanya bora zaidi nje ya darasa?
Usiku njema na tutaonana kesho!
~Upendo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
Kama Upendo, napenda kupiga kambi nje kwa wiki moja au zaidi, laiki mimi sitaki kuifanya pajoma na watoto mia moja na hamsini. Napenda tu kwenda pamoja na marafiki tano au sita. Napenda sana kusafiri mpaka mahali tutalala na kwa kawaida nasafiri kwa pikipiki au kwa miguu. Kama napiga kambi nchini Kanada, naweza pia kutumia madau madogo kusafiri. Napenda sana kupika chai na nyama choma nje. Nafikiri kula chakula kambini ni tamu zaidi ya kula chakula nyumbani.
Kitu ninachopendazaidi kufanya nje ya darasa ni kusafiri. Napenda kuenda pahali po pote. Tangu nilipoanza shule ya tiba, silikuwa na nafasi nyingi kusafiri pahali panapo mbali kutoka chuo kikuu cha Stanford. Kwa hivyo, nilikuwa nimesafiri ndani jimbo la California na pwani magharibi.
Niliendesha mji ya Los Angeles na nilienda Disneyland. Pia nilitembelea bibi yangu katika California kusini. Mara wengine niliendesha kaskazini na nilikaa katika miji wa Portland na miji wa Seattle.
Kitu ninachopenda bora ni kutembelea pahali pya. Napenda kuona majengo na makumbusho. Pia napenda kula mikahawani mipya na kujaribu chakula tofauti.
Kitu ambacho napenda bora kufanya nje ya darasa ni kuteleza kwa theluji.
Miaka mingine, nimeenda kuteleza kila wikiendi wakati ilikuwa na theluji pale Ziwa Tahoe, lakini mwaka huu, kwa sababu nina kazi kuindika thesis yangu, sikuweza kuteleza kila wikiendi na sijafurahi...
Kitu kingine napenda kufanya ni kwenda pwani kama pale Santa Cruz na kuogelea na kadhalika. Kwa kweli, mimi napenda sana kuwa nje na kwenda mahali pazuri na marembo!
Usiku, nje ya darasa, napenda sana kwenda kusherehe na marafiki kama Clara. Tunapenda kunywa bia na kuzungumza na kucheka na pia kusikia musiki na labda, kucheza! Napenda sana kucheza na rafiki wakati kusherehe.
Kitu cha mwisho nitasema ni kwamba, nje ya darasa, napenda kufanya mazoezi.
-Cheka
Post a Comment