Kumbuka Mwalimu Mohochi atasoma, lakini labda unaweza kueleza hadithi moja ya kichekesho kuhusu sherehe ya Stanford. Kama hakuna hadithi zuri unaweza kueleza nini unapenda kufanya kusherehekea.
Ninaweza kuanza na hadithi ya Full Moon on the Quad (FMOTQ) muaka hii kwa sababu tumezumbgumza kuhusu desturi ya sherehe. Nilienda na rafiki moja ya bweni, anaitwa James. Tumeishi pamoja kwa muda miaka miwili sasa na kila muaka kuna kitu kinatusimama wakati tunataka kwenda FMOTQ. Tulianza kunywa bia na pombe ndogo na kuunda shati mbili kucheza "Bingo" wakati tunashiriki FMOTQ. Kucheza tulichora miraba juu ya shati na katika kila mraba tuliandika sifa moja ya wanafunzi wa Stanford. Kwa mfano nilikuwa na mirabab ya kusema "mtu mrefu zaidi ya mimi" na "mtu anakaa katika Branner", sifa kama hizi. Halafu tulibeba kalama kuandika kila mtu juu ya shati yetu.
Rafiki yangu alishinda lakini nimepata Bingo nukta sita baada ya alishinda tu. Ilikuwa jinsi zuri kufurahia sherehe na kuanza muaka wa mwisho wangu wa Stanford.
Baada ya sherehe hii, tulitumia "mouthwash" na tulila vitamini kabla ya kulala kwa sababu hatutaka kuwa mgonjwa. Nimeaibika kidogo kwa sababu nilizumgumza kuhusu mchezo yetu na Stanford Daily na walitumia wadondoo wengi ya mimi, lakini hata kama nimeaikbika kidogo, ninafikiri ilikuwa sherehe zuri na FMOTQ ni sehemu muhimu ya utamaduni ya Stanford.
Sunday, October 26, 2008
Thursday, October 9, 2008
Kuhusu Kazi
Wiki hii tulizungumzana kuhusu kazi. Watu wengi wanafikiri kazi ni kazi, na maisha kweli inaanza baada ya masaa unapasa kufanya kazi. Watu wengine wanasema ni nzuri kufanya kazi kali kabisa kwa sababu baada ya kazi unapesa nyingi kulipa kusherehekea. Watu wengine wanasema ni muhimu kusherehe kabisa bila kufanya kazi. Pia, kuna watu ambao wanafikiri wakati unafuata kazi unataka kufanya utafurahi kabisa na kwa hivyo pesa si muhimu. Je, unafikiri nini kuhusu kazi yako? Na unafikiri unataka kubadili kazi yako kufanya vitu tofauti au hapana?
Mimi, kwa kawaida napenda kazi yangu. Na bahati na penda kazi yangu kwa sababu mimi ni mwanafunzi na kwa hivyo napasa kulipa pesa kufanya kazi! Mara kwa mara, sipendi kazi yangu. Kama naweza kubadili kazi yangu sikuandika insha. Kama naweza, nataka kujenga vitu vya urembo na kuishi kijijini. Nasikitika kidogo kwa sababu nafikiri ni baada ya miaka mingi tu naweza kuifanya.
Zuri
Mimi, kwa kawaida napenda kazi yangu. Na bahati na penda kazi yangu kwa sababu mimi ni mwanafunzi na kwa hivyo napasa kulipa pesa kufanya kazi! Mara kwa mara, sipendi kazi yangu. Kama naweza kubadili kazi yangu sikuandika insha. Kama naweza, nataka kujenga vitu vya urembo na kuishi kijijini. Nasikitika kidogo kwa sababu nafikiri ni baada ya miaka mingi tu naweza kuifanya.
Zuri
Subscribe to:
Posts (Atom)