Sunday, October 26, 2008

Hadithi ya sherehe moja amboa umependa

Kumbuka Mwalimu Mohochi atasoma, lakini labda unaweza kueleza hadithi moja ya kichekesho kuhusu sherehe ya Stanford. Kama hakuna hadithi zuri unaweza kueleza nini unapenda kufanya kusherehekea.

Ninaweza kuanza na hadithi ya Full Moon on the Quad (FMOTQ) muaka hii kwa sababu tumezumbgumza kuhusu desturi ya sherehe. Nilienda na rafiki moja ya bweni, anaitwa James. Tumeishi pamoja kwa muda miaka miwili sasa na kila muaka kuna kitu kinatusimama wakati tunataka kwenda FMOTQ. Tulianza kunywa bia na pombe ndogo na kuunda shati mbili kucheza "Bingo" wakati tunashiriki FMOTQ. Kucheza tulichora miraba juu ya shati na katika kila mraba tuliandika sifa moja ya wanafunzi wa Stanford. Kwa mfano nilikuwa na mirabab ya kusema "mtu mrefu zaidi ya mimi" na "mtu anakaa katika Branner", sifa kama hizi. Halafu tulibeba kalama kuandika kila mtu juu ya shati yetu.

Rafiki yangu alishinda lakini nimepata Bingo nukta sita baada ya alishinda tu. Ilikuwa jinsi zuri kufurahia sherehe na kuanza muaka wa mwisho wangu wa Stanford.

Baada ya sherehe hii, tulitumia "mouthwash" na tulila vitamini kabla ya kulala kwa sababu hatutaka kuwa mgonjwa. Nimeaibika kidogo kwa sababu nilizumgumza kuhusu mchezo yetu na Stanford Daily na walitumia wadondoo wengi ya mimi, lakini hata kama nimeaikbika kidogo, ninafikiri ilikuwa sherehe zuri na FMOTQ ni sehemu muhimu ya utamaduni ya Stanford.

3 comments:

Zuri said...

Hadithi ya Kusai iko sawa kabisa!

Nakuwa na hadithi moja pia, lakini sikuwa hapa chuoni. Nilikuwa nchini Albania kiangazi iliopita. Kwa siku ya kwanza ya kazi yangu mimi na mtu mmoja mwingine tulipasa kuendesha Land Rover mawili mpaka kambi yetu.

Tulianza baada ya chakula cha mchana jijini Tirana. Tirana ni jiji kubwa sana kusinini Albania. Nilifikiri rafiki yangu, Elvin, alijua njia nzuri ya kwenda kambi, lakini tuliendesha, tuliendesha, na tuliendesha, bila kuona watu wengine. Baada ya masaa mengi gari lake liliharibika! Tulijenga na nilimuliza "Wa, unajua tuko wapi?"

Alisema "ndiyo najua". Ala! Kwa hivyo tulianza kuendesha tena. Jioni ilifika, lakini bado kambi. Hakuna njia nzuri sana na tuko pamoja na vilima. Kweli, tulikuwa msituni.

Sasa, Elvin alisema hajui tuko wapi. Alipiga simu yake kuzungumza na watu wa kambi lakini wao hawawezi kutusaidia kwa sababu hawajui tuko wapi. Ala!

Baada ya masaa mawili mwengine tulipata kambi. Ilikuwa siku ajabu kuanza kazi.

claire said...

Kusai, ninapenda sana hadithi yako! Sikuweza kwenda FMOTQ kwa sababu nilihitaji kusoma kwa mtihani wa chemia, lakini ilikuwa bora zaidi kwa sababu nafikiri (kama mwanafunzi wa miaka mitano) ingalikuwa “creepy” kigogo ningalienda!

Badala ya kukaa hapa Stanford Halloween, rafiki zangu nami tulienda kwa gari la moshi la Cal jijini San Francisco. Nilitaka kuvaa kufanana na Sarah Palin, kwa sababu nafikiri yeye ni mtu wa kubezwa, lakini sikuweza kupata miwani. Kwa hivyo, nilivaa nguo kiMarekana wa 1980’s, kulingana na nywele kubwa sana kicha na gauni baya sana! Tulienda kunywa pamoja na rafiki zetu, helafu tulienda kucheza densi. Ilikuwa usiku mwema sana!

Furaha

Kate said...

Kusai, Zuri na Furaha, nakuzipenda hadithi zenu! Nilipofikiria hadithi nzuri kuandika, kuhusu wakati yangu hapa Stanford, nilikumbuka sikukuu ya kuzaliwa yangu wakati wa mwaka wa kwanza hapa. Rafiki zangu na mimi tulienda Palo Alto kula katika PF Changs - chakula cha Uchina. Tulikula kuku nyingi kwa sababu iliunga nzuri sana. Pia, nakumbuka kula saladi na nyama - lakini nyama ilitika ndani majani. Tulichukua picha nyingi pamoja. Kwa kweli watu ambao walikuja kula nami jioni hii - kwa sikukuu ya kuzaliwa yangu - tuna rafiki sasa!

Ijapokuwa nilipenda kula chakula cha China, sipendi kurudi huko kwa sababu nasikia kwamba hewa ni mbaya sana kwa sababu kuna uchafu wengi. Napendelea kuhema hewa safi.

Ikiwa mnataka kusikia habari nzuri, ilikuwa sikukuu ya kuzaliwa yangu jumatatu. Sasa, nina umri ishirini na mmoja. Pia mwaka huu, nilisherekea na marafiki zangu kwa kula huko Palo Alto, lakini tulikula katika Buca di Beppo. Kwa mnywo wangu wa pombe (kwa sababu nilisema sasa nina miaka ishirini na mmoja), nilijariba mvinyo.