Saturday, January 24, 2009

Kuhusu Familia Yako

Hamjambo wote! Ningetupendia kuambia kuhusu familia yetu kwa Blog hii. Nitaanza kwa kueleza kuhusu watu katika familia yangu, kazi ya wazazi wangu na ndugu yangu, na vitu vingine muhimu kujua. Ningependa kujua angalau vitu vitatu si kawaida kuhusu kila mtu katika familia yako, ikiwa hii ni sawa. Kwa mfano:

Katika familia yangu, kuna mama (jina lake ni Susan) na baba (jina lake ni Ralph) na ndugu mmoja (jina lake ni Clare). Clare ana umri ishirini na tano. Alienda chuo kikuu cha Stanford pia, lakini alisoma Kiingereza na nimesoma Uhusiano ya Kimataifa. Alifanya kazi mjini ya San Francisco kwa magazeti ya "Wired" na habari ya "Reuters." Siku hizi, Clare anataka kutoka kazi yako na kusafiri kama dunia. Hajui Kiswahili, lakini nilimambia anahitaji kutembelea Afrika ya Mashiriki. Sasa, kuhusu wazazi wangu. Mama na baba yangu walikuwa walimu wa shule ya sekondari. Sasa, wamestaafu lakini kwa miaka ishirini walifanya kazi hii. Niliona kwamba walipofundisha wafunzi kila siku, walirudi nyumbani na walichoka sana. Nafikiri waliwapenda wanafunzi wao, lakini mara kwa mara wazazi wa watoto wao waliumba matatizo mbalimbali, kama kusema mtoto wao alistahili gredi bora zaidi anapofanya kazi mbaya. Kwa hivyo, nafikiri wanafurahia sana kumaliziwa na kazi yao. Siku hizi, babu yangu ana wakati kupanda milima na mama yangu ana wakati kufanya vitu kama "geneology." Wazazi wangu wameishi huko Alaska, mji wa Wasilla bado, lakini mimi na ndugu yangu tunapenda kusoma na kukaa jimboni la California.

Mama Yangu Susan:
1) Anajua Kijerumani
2) Familia yako (na yangu) waliua katika "Holocaust"
3) Ametoka mji wa Brooklyn lakini alienda Alaska alipokuwa na umri ishiniri na mbili.

Baba Yangu Ralph:
1) Alipanda mlima ya "Denali" wakati mbili.
2) Alifundisha darasa la "Njia kupona porini."
3) Alikaa katika Rwanda kwa kiangazi kimoja.

Ndugu Yangu Clare:
1) Anataka kuwa mwandishi ijapokuwa anajua wandishi hawapati pesa nyingi
2) Hataki kuwa na watoto
3) Anataka kupanda mlima ya "Denali" aka "McKinley" kiangazi hiki

Monday, January 19, 2009

Hadithi za kuchekesha katika Afrika

Kila wanafunzi katika darasa letu ametembelea Afrika ya mashariki kwa hivyo kila mtu ana hadithi za kuchekesha nafikiri.

Ninaweza kuanza na hadithi moja katika Zimbabwe. Nilienda Zimbabwe kabla ya uchaguzi na niliendesha kati ya Harare na Bulawayo (mji kubwa wa MDC). Kama kawaida pale Afrika, kuna polisi nyingi kando ya barabara na wanazuia kila gari wakati wanafikiri wanaweza kupata pesa au kupata vitu vya upinzani yao. Kwa kivyo nilizuiwa kila wakati niliona polisi kwa sababu mimi si mwafrika na wanajua labda nina pesa na nitalipa. Polisi moja, baada ya kujizuia barabarani, alisema nilihitaji kuwa na leseni ya Zimbabwe kuendesha na itakuwa ada kubwa. Nilisema leseni yangu ilikuwa ya kutosha kuendesha pale na sikuenda kulipa. Halafu alianza kutafuta gari langu wakati nilichungwa na polisi mwengine. Halafu kiongozi cha polisi ambaye alikuwa na bundee kubwa alijaa na alijiona na aliguta, "Wewe ni Peter Crouch!" Nilisema tu, "Mimi si Peter Crouch, jina langu ni Marcus" na alisema "Hapana najua wewe ni Peter Crouch, hamna shida, unaweza kuendelea." Halafu polisi yao walisimama kutafuto na niliondoka bila kulipa.

Baada ya kuondoka Zimbabwe nilijifunza Peter Crouch ni mchezaji maalum wa soka katika Uingereza, na alifanana mimi (labda). Kwa hivyo kiongozi cha polisi alifikiri mimi nilikuwa mchezaji wa soka. Tangu Zimbabwe nimevurugwa na Peter Crouch katika Afrika mara tatu tofauti na kila mara mtu anajiomba kusaini vitu vyao.

Thursday, January 15, 2009

Mambo

Mambo?  Nimefurahi kuwa na access kwa blog hii, na kuwa na wanafunzi wakali!

Monday, January 12, 2009

Mwaka Ujayo

Hamjambo? Nimefurahi sana kuanza darasa letu tena, na pia kuanza kusoma riwaya na vitabu vingine vinavyoandikiwa waandishi wa kiswahili. Lakini, kwa mada hii, ningependa kuzungumza kuhusu mwaka ujayo. Je, mntafanya nini mwaka ujayo? Mkimaliza hapa Stanford, mntaendelea kusoma, kupata shahada ya pili, au sio? Kwa watu hamtamaliza, mmefurahi kufanya wakati wa likizo ya kiangazi? Kwangu, sijui kwa sasa nitafanya mwaka ujayo, lakini najua ningependa kurudi Afrika, na hasa ningependa kurudi Afrika Mashariki au sehemu ambapo watu wanaongea Kiswahili. Ningependa sana kuendelea kufanya kazi ambayo inafanana na kazi yangu na SIC -- nilipofanya kazi kwa SIC, nilifundisha kuhusu UKIMWI na VVU kijijini na niliwasaidia watu wa vijiji kupanga siku za kupima, na kadhalika. Ningependa sana kufanya kazi pale na shikira ambayo inasaidia watu wameshaoambukizwa na VVU na familia zao. Nina tumaini kwamba nitapata nafasi na kazi nzuri!

Furaha