Hamjambo wote! Ningetupendia kuambia kuhusu familia yetu kwa Blog hii. Nitaanza kwa kueleza kuhusu watu katika familia yangu, kazi ya wazazi wangu na ndugu yangu, na vitu vingine muhimu kujua. Ningependa kujua angalau vitu vitatu si kawaida kuhusu kila mtu katika familia yako, ikiwa hii ni sawa. Kwa mfano:
Katika familia yangu, kuna mama (jina lake ni Susan) na baba (jina lake ni Ralph) na ndugu mmoja (jina lake ni Clare). Clare ana umri ishirini na tano. Alienda chuo kikuu cha Stanford pia, lakini alisoma Kiingereza na nimesoma Uhusiano ya Kimataifa. Alifanya kazi mjini ya San Francisco kwa magazeti ya "Wired" na habari ya "Reuters." Siku hizi, Clare anataka kutoka kazi yako na kusafiri kama dunia. Hajui Kiswahili, lakini nilimambia anahitaji kutembelea Afrika ya Mashiriki. Sasa, kuhusu wazazi wangu. Mama na baba yangu walikuwa walimu wa shule ya sekondari. Sasa, wamestaafu lakini kwa miaka ishirini walifanya kazi hii. Niliona kwamba walipofundisha wafunzi kila siku, walirudi nyumbani na walichoka sana. Nafikiri waliwapenda wanafunzi wao, lakini mara kwa mara wazazi wa watoto wao waliumba matatizo mbalimbali, kama kusema mtoto wao alistahili gredi bora zaidi anapofanya kazi mbaya. Kwa hivyo, nafikiri wanafurahia sana kumaliziwa na kazi yao. Siku hizi, babu yangu ana wakati kupanda milima na mama yangu ana wakati kufanya vitu kama "geneology." Wazazi wangu wameishi huko Alaska, mji wa Wasilla bado, lakini mimi na ndugu yangu tunapenda kusoma na kukaa jimboni la California.
Mama Yangu Susan:
1) Anajua Kijerumani
2) Familia yako (na yangu) waliua katika "Holocaust"
3) Ametoka mji wa Brooklyn lakini alienda Alaska alipokuwa na umri ishiniri na mbili.
Baba Yangu Ralph:
1) Alipanda mlima ya "Denali" wakati mbili.
2) Alifundisha darasa la "Njia kupona porini."
3) Alikaa katika Rwanda kwa kiangazi kimoja.
Ndugu Yangu Clare:
1) Anataka kuwa mwandishi ijapokuwa anajua wandishi hawapati pesa nyingi
2) Hataki kuwa na watoto
3) Anataka kupanda mlima ya "Denali" aka "McKinley" kiangazi hiki
Saturday, January 24, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
5 comments:
Familia yako ni poa kabisa. Nataka kujua kwa nini baba yako aliamua kuhama Alaska kutoka New York, lakini labda unaweza kutuambia darasani.
Familia yangu ni ndogo sana. Nilikua na mamangu na kaka yangu tu. Sijajua babangu. Kaka yangu ana umri thelathini na tatu, kwa hivyo yeye ni mkuu zaidi ya mimi. Anaishi katika mji wa Albuquerque ambapo anafanya kazi nyingi. Sasa anafanya kazi kama kiongozi cha baa pweke, yeye ni mpiga picha, na anasanifu ukurasa wa mtandao. Anapenda zaidi kupiga picha na marafiki zake ni, kwa kawaida, rembo sana. Yeye ni mkuu zaida, lakini anafanana dogo zaidi ya mimi.
Mamangu anaishi sasa katika jimbo la Florida. Alihama kutoka Albuquerque baada ya nilienda kusoma hapa. Alifanya kazi ya kusanifu nyumba katika Albuquerque lakini sasa hawezi kupata kazi. Ni mgumu sana kupata kazi sasa, hasa katika Florida na katika soko ya nyumba. Hii ni sababu moja ninahitaji kupata kazi na mshahara nzuri, kusaidia.
Mamangu:
-Aliishi katika British Virgin Islands kwa muda miaka mitatu wakati alikuwa na umri ishirini.
-Alikuwa mchezaji mpaka alikuwa na umri thelathini.
Kakangu:
-Ameishi pamoja na rafiki yake za shule kwa muda miaka kumi na mbili.
-Amekuwa na mipenzi nne wa miaka mitatu au zaidi lakini kila wakati wanavunjana kwa sababu hataki kuowa.
Ah Kusai, asante kwa swali lako. Lakini babangu hatoki New York. Anatoka jimbo la Massachusetts, mji wa Millbury (ni mji mdogo sana). Aliamua kuhama Alaska kwa sababu anapenda kuwa nje, na kupanda milima. Mwanzoni, alienda Alaska kupanda mlima wa "McKinley" au "Denali" (jina la mlima huu linatoka wenyeji wa Alaska). Baadaye, aliamua kukaa huko kwa sababu alimkutana mamangu (alikuwa akifundisha). Pamoja, waliamua kulea watoto wao wawili (mimi na dadangu) katika Alaska kwa sababu walifikiri Alaska ilikuwa mahali pazuri sana. Napenda kusikia kuhusu familia yako pia! :)
Nilipenda sana kusoma kuhusu familia zenu, Katempa na Kusai. Mimi, natoka mji wa Seattle, na baba na mamangu wanaishi pale bado. Lakini, mama na babangu wawili wana asilli hapa California (na hapa Stanford, pia, ambapo walikutana). Baba yangu anaitwa Mike na anatoka California kusini, mjini Newport Beach. Mamangu, anaitwa Nancy, alizaliwa hapa hapa hospitalini Stanford, na alipokuwa mtoto aliishi mjini Atherton. Baba na mamangu walikutana walipoishi pamoja katika bweni la Branner, wakati wa mwaka wa kwanza wao kama wanafunzi chuoni Stanford. Babangu aliendelea kusoma katika shule ya udaktari hapa, na mimi, kakangu, na dadangu walizaliwa hapa. Tuliishi hapa mjini Menlo Park mpaka nilipokuwa na miaka mitano. Halafu, wazazi wangu waliamua kuhamia Seattle kwa sababu ya kazi ya babangu. Kwa hivyo, ninajifikiria kutoka Seattle, na nina kiburi sana cha Seattle.
Mama yangu, Nancy
- Amekuwa anajaribu kujifunza kihispania kwa muda wa miaka mitano, na alianza kusoma vitabu vya "Harry Potter" vinavyoandikwa katika kihispania kujisaidia.
- Alikaribia kusoma kiswahili aliposoma katika shule ya sekondari, lakini aliamua kifaranza badala ya kiswahili.
- Anapenda sana kunywa chai; anasema kwamba hukunywa vikombe vya chai sabu au zaidi kila siku!
Baba yangu, Mike
- Anapenda kuvua samaki sana, na nipokuwa mtoto nilihitaji kupiga makasia mashua yetu wakati wa babangu alivua kwa sababu kaka, dada, na mamangu wote hawakupenda kuvua.
-Hawezi kukimbia kabisa kwa sababu alivunja kifundo ya mguu yake wakati wa kupanda mwambani na haifai vizuri sana sasa.
-Anasema kwamba mtoto wake ambaye anampenda bora zaidi ni mbwa wetu, Dusty.
Kaka yangu, Tom
- Anapenda sana mada za siasa (kama Kusai), na alianza blogu ya siasa mwenyewe wakati wa uchaguzi.
- Anasoma katika chuo kikuu cha Colgate, ambacho kiko jimboni New York, lakini hapendi kabisa theluji na hali ya hewa baridi.
- Anapenda sana kuzamia majini, na yeye na babangu wanaenda pamoja kuona samaki mara kwa mara.
Dada yangu, Jill
- Yeye ni mwanafunzi hapa Stanford pia, katika mwaka wake wa kwanza.
- Angependa kusoma afya ya kimataifa (kama mimi).
- Ana majina ya utani nyingi sana, kulingana na "Bee", "Jee Jee", "Biller", "Bee Flea", "Yill", na kadhalika.
Sisi ni watu wa nne katika familia yangu. Baba na mama, na dada yangu mdogo, nami. Utotoni, tuliishi mjini wa Philadelphia. Wakati nilipokuwa na miaka 13, lakini, tulihamia San Francisco. Mwaka uliopita, wao walihamia Chicago, lakini mimi nabakia hapa kama mwanafunzi. Baba yangu ni mtungaji wa majengo (architect). Ana miaka karibu na 48, lakini sijui kamili. Mamangu ana miaka 52, nafikiri, lakini bado sijui kamili. Kwa sasa, baba yangu anafanya kazi na Chuo Kikuu cha Chicago (UChicago). Mamangu pia. Dada yangu ana miaka 17, na yeye ni Junior shuleni ya upili. Anapenda kujifunza kugha nyingine. Tayari anajua kifaransa, kichina, kilatin, na kiingereza bila shaka. Ataanza kusoma lugha ya kijerumani mwaka ujayo. Anapenda sana kuishi Chicago. Anaangalia sasa vyuo vikuu vingine, kwa sababu anajaribu kuchagua anataka kuenda kusoma wapi baada ya shule ya upili.
Steve, baba yangu:
1) Anapenda kuenda kwa baisikeli
2) Alifanyakazi na Venturi Scott Brown, ambao ni watungaji wa majengo wazuri na wa waarufu sana.
3) Hajui kutumia vizuri kompyuta
Rebecca, mama yangu:
1) Alijua lugha ya kiespanya, lakini amesahau
2) Anapenda sana kusoma na kunywa kahawa
3) Anapenda kupiga picha, kama mimi
Bettina, dada yangu:
1) Anapenda kupiga picha pia
2) Anapenda kuogelea
3) Hapendi kahawa, lakini anapenda kupika chakula sana
upo juu mwana
nimeipenda kazi yako
Post a Comment