Sunday, April 15, 2007

Chuo Changu

Habari zenu? Naamini kuwa mnaendelea vizuri na masomo. Ningependa kusikia maoni yenu kuhusu chuo chenu. Asanteni.

2 comments:

Odiero said...

Habari zenu wanafunzi...Tuonane siku nyengine sina wakati sasa.

Odiero said...

NAFURAHI KUONA SASA uwezkano wa kuon gea kiswahili au kuandika kiswahili hatahivyo kwa barua hizi za stima