Wiki hii, kama kawaida, ninakuwa na kazi nyingi. Nilienda kwa darasa yote ya uhandisi lakini sitajua vitu vyote kuhusu mitihani ya jumatatu. Sipendi kuandika insha kwa sababu sitakuwa msanii lakini ninapasa kuandika insha nyingi wiki hii. Kesho jioni nitasherehekea pamoja na rafiki wangu wa bweni langu. Kwa wikendi hii nitakula mbuzi pamoja na wakenya. Baada ya kula mbuzi ninapasa kumnunua. Sasa nitafanya kazi na halafu nitalala fofofo.
Zuri
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Zuri,
Utamnunua mbuzi baada ya kumla au kabla? Je, sherehe yenu ilikuwa nzuri au hapana? Wikendi yangu ilikuwa yenye shughuli nyingi sana. Nilihudhuria kongamano huko jijini New York ambapo nilikutana na rafiki zangu wengi sana. Safari yangu ilikuwa njema kwa jumla lakini nilichoka sana. Kwa sababu ya safari hiyo, sasa nina kazi nyingi sana ya kufanya kama vile kusahihisha kazi zenu za myumbani na kadhalika.
Wapi watu wengine? kwa nini hawajaandika kuhusu wikendi zao?
Habari zenu?
Natarajia kuwa wiki hii imeisha vyema. Yangu ilikuwa na kazi nyingi ajabu, hasa kwa sababu wikendi iliyopita sikuwepo na kazi nyingi ilikuwa inanisubiri. Ningependa mueleze mambo muhimu mtakayoyafanya wikendi hii kwa ufupi.
Wikendi njema.
Post a Comment