Monday, February 4, 2008
Mnataka mwe nini wakati ujao? (kutoka kwa Upendo)
Mnataka mwe nini wakati ujao?Hamjambo wote! Habari za wikendi? Nilifikiria kuhusu ninyi wikendi hii, na nilitanabahi nisijue nini mnataka mwe wakati ujao. Mimi, ningependa kuandika au kuumba sera ya afya kimataifa. Msiulize - sitaki kuwa dakta. Ningependa kuwa mwanasheria ambaye anajua mambo mengi kuhusu sheria ya dunia na ya haki za watu. Kwa hivyo, nilisoma historia mpaka mwaka huu, na sasa, ninasoma elimu jamii (hasa kuhusu siasa linganishi) ili nifahamu hali ya dunia nzima.Na nyi? Mnataka kuwa nini wakati ujao? Na kwa nini?Tutaonana kesho! ~Upendo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
5 comments:
Sijui kwa kweli nini ninapenda kuwa kwa dunia. Sitaki kufanya vitu nususi, na sipindi jiji na miji mikubwa. Napenda ardhi wazi na misitu. Kama ninaweza kufanya kazi ya shamba pamoja na wanyama kama mbuzi au punda milia na swala nitafurahia sana. Napenda sana kazi ya mikono na kitchwa, nusu nusu. Nataka kuishi pale Afrika Mashariki na ninataka kusaidia watu kulea kila mtu na mazingira pia.
Nadhani ningependa kuwa daktari wakati ujao, lakini bado sina hakika. Najua tiba ni muhimu sana, bali nafikiria afya ya watu wengi ni muhimu kuliko afya ya mtu mmoja. Ningependa kufanya kazi na wagonjwa na pia kazi ya afya ya watu wengi. Aidha, napenda kufundisha na kufanya utafiti; kwa hivyo nitajaribu kufanya vitu vengi tofauti. Nikiamua kuwa daktari, ningekuwa daktari ya watoto.
Ninataka kuwa mkulima na ng'ombe wengi katika jimbo la Texas. Lakini kwa kweli sifikiri nitaweza kuwa mkulima kwa sababu si na pesa ya kutosha kuanza mashamba. Kwa hivyo nigependa kusoma uchumi ya Afrika na kusaidia na maendeleo pale.
Kama zuri, mimi sijui nitafanya kazi gani baada ya kumaliza masomo hapa chuoni. Lakini, ni shida kubwa zaidi kwa mimi, kwa sababu niko mwakani wa nne, na wazazi wangu watakuwa na wenye hasiri sana nikirudi kwetu bila kazi yoyote! Kwa kweli, nilipenda sana kufanya kazi kuhusu elimu na afya ya kimataifa pale Tanzania, na ningependa sana kuishi pale Afrika Mashariki kwa muda mrefu zaidi kuendelea kazi hii. Mwishowe, ningependa kushauri miradi ya afya ya jamii pale Afrika na sehemu mbalimbali zingine pia, kwa sababu nimefurahia kujifunza zaidi kuhusu afya ya jamii na hasa njia ya kuzuia ugonjwa wa kuambukiza. Ningependa pia kupata shahada ya pili kuhusu afya ya jamii, kuendelea kusoma kuhusu ugonjwa wa kuambukiza kama VVU na UKIMWI, na malaria. Lakini, nafikiri kwamba nitafanya kazi kwa shiriki ya afya fulani kwanza, kabla ya kurudi shuleni!
~ Furaha
Samahani wote kuwa chelewa kucomment katika blogu. Sikujua wakati mmeanzi zungumza huu. Kwa hivyo, mimi nataka kuwa daktari kama watu wengi wa hapa chuo kikuu cha Stanford. dhariri, mimi nataka kufuata elimu ya namna moja na magonjwa wa kuambikiza kama malaria na VVU na vitu kama hivyo. Badaaye kumalize schule kabisa, ningependa sana kuwa daktari katika Afrika Mashariki. Ni sababu gani nasoma kuswahili sasa hivi!
Sawa jamani...Bahati njema na mtihani leo!
Post a Comment