Je, shida kubwa zaidi ya afya katika Afrika Mashariki ni nini? Ni malaria, kifua kikuu, UKIMWI, or wengine?
Nafikiri tatizo kubwa ni kuharisha. Ukosa wa maji safi wanasabibisha
ugonjwa wengi katika Afrika. Ugonjwa wa maji chafu unaua watu 2.2
milioni kila mwaka. Ugonjwa huu unazuilika kwa urahisi. Tatizo
lengine jinalozuiwa kwa urahisi ni kifa wakati wa uzalishi.
Mwanamimba wanahitaji tibu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
5 comments:
Nafikiri tatizo kubwa sana ni malaria kwa sababu ugonjwa huu unazuilika lakini watu wengi wanakuwa na malaria. Tunakuwa na teknolojia na dawa kuzuia na kupigana na ugonjwa huu.
Kwa kijiji cha Kijabe, wakati nilikuwa mtoto, kwa kawaida hatukuwa na mbu. Mwezi mmoja watu wengi walisema waliona mbu. Viongozi wa jamii waliunga jamii kufuata wapi mbu hawa wanazaliwa na baada ya mara fupi mbu zote walikufa.
Kama jamii zote wanaweza kupigana malaria kama kijiji cha Kijabe, pamoja na teknolojia ya neti na dawa, ugonjwa wa malaria utaogopa sana!
Zuri
Kama Zuri amesema, mimi pia nafikiri kwamba malaria ni tatizo kubwa katika Afrika Mashariki. Pia kuharisha ni tatizo, lakini kuharisha ni tatizo kubwa katika mahali mengi ya dunia na malaria ni sababu la kwanza kwa watoto chini ya miaka mitano wanakufa katika Afrika Mashariki.
Pia kama Zuri amesema, kuna vitu vingi kufanya kuacha malaria. Kuna chandalua, kuna dawa nzuri bure kwa watoto katika hospitali ya serikali, kuna kunyunyika (spray) ya mbu, lakini kuna malaria sana zaidi.
Kitu muhimu sana kufanya, nafikiri, kuacha mambukizo na malaria, ni kufundisha watu kuhusu malaria. Nimefanya utafiti kiangazi kilichopita katika Tanzania kuhusu malaria ya watoto na kitu kimoja nimejifunda ni kwamba watu wanahitaji kujua zaidi kuhusu malaria. Watu wengi wanajua kuhusu chandalua au neti, lakini hawajui kwa nini wanahitaji neti au kwa nini wanahitaji kutumia dawa katika neti. Na kama hawajui kwa nini, hawataki kufanya vitu kama kutumia neti, kama kupata dawa haraka sana kwa watoto wana malaria kabla malaria ina kuwa mbaya.
-Cheka
Sina ujuzi kuhusu afya ya umma, lakini ninakubaliana na Zuri na Cheka kuhusu Malaria. Watu wengi wana malaria na hawajui kabisa. Nimesoma kuhusu dawa mpya na nafikiri inaweza kuwasaidia sana. Wameipima katika Rwanda na Ethiopia nafikiri na wameone malaria imefifia sana.
Kwa kweli, ninafikiri mimi ni mtu nadra kwa sababu napenda kusoma kuhusu Afrika lakini sijui na sijifurahi kusoma kuhusu afya. Watu wengi hapa Stanford ambayo wanasoma Afrika, wanasoma afya lakini ninajua kidogo tu kuhusu afya umma.
Kwa kweli mimi si daktari. Sijui mambo mengi kuhusu afya ya watu wa Afrika Mashariki. Mimi ni mwanafunzi ya elimu jamii na historia. Lakini kutoka kwa maoni hii ninafikiri ugonjwa kubwa zaidi pale ni umaskini. Bila pesa watu wengi hawawezi kwenda shule kujifunza kuhusu afya au kujizoea. Hawajui kufanya nini ili wasipate magonjwa kama Virusi Vya UKIMWI, malaria, au kitu kingine. Kisha bila pesa watu hawawezi kununua vitu ambavyo vinaweza kuwasaidia watu kuishi bila ugonjwa. Kama tunataka kuwasaidia Wafrika Mashariki tunahitaji kuanza na maendeleo ya kiuchum. Watu Wafrika watapokuwa na pesa, wataweza kujenga hospitali, kulipa madaktari, na kusisitiza elimu. Ni maoni yangu tu.
Samahani! "Tutor" ni mimi, Upendo. Nina akounti mbili na Gmail! Samahani sana...
Post a Comment