Kwa kazi katika blogu kwa wiki hii, tunaweza kuandika kuhusu likizo ambalo tungependa kufanya kama utapata pesa nyingi sana kusafiri. Je utaenda wapi? Kwa nini? Kwa muda gani? na kufanya nini?
Kwa mimi, ninafikiri ningependa kusafiri kwenda Tanzania tena ambapo nitanunua mandolin na kuendesha mpaka Afrika Kusini. Nitaenda kwa safari hii pale na kaka yangu na labda rafiki mojo au mbili. Itachukua labda mwezi sita au zaidi. Ningependa kwenda katika safari hii kwa sababu ninapenda sana kusarifi na kaka yangu na pia napenda sana Afrika na nataka kusafiri zaidi katika kontinenti huyu.
Mnaenda wapi?
Friday, February 15, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
4 comments:
Kama Cheka, nafikiri ningependa kusafiri mpaka Afrika Mashariki pamoja na rafiki wangu wawili au watatu. Wakati nilikuwa mtoto kwa shule pale Afrika Mashariki tulipenda kupiga kambi pamoja na piki piki zetu. Kama ningekuwa na nafasi kufanya hio, ningeifanya.
Baada ya siku nne au zaidi nafikiri tutakuwa wachafu sana. Kwa hio, baada ya kupiga kambi tutasafiri mpaka pwani kuogelea na kulala bila fisi.
Zuri
Kuna pahali pengi ambapo ningependa kutembelea. Sijaona Asia au Marekani Kusini. Nikisafiri kama likizo, ningependa kwenda Tailandi au Peru. Nikisafiri ili kufanya kazi, ningerudi pale Kenya. Ningeishi kijijini na kuendelea utafiti wangu. Pahali pengine ambapo ningesafiri ili kufanya kazi ni Uswisi. Pale ningeweza kufanya kazi na WHO. Nikifanya kazi pale, ningekaa kwa miezi miwili au zaidi. Pia ningeweza kusafiri nchi zingine pale Ulaya.
Kama Cheka, ningependa sana kwenda safari mrefu sana (kama mwaka moja au zaidi), kuzunguka bara ya Afrika zima. Ningependa kuanza kwa kufika Ulaya, labda katika Ufaransa. Ningesafiri kidogo Ufraransa, halafu ningekwenda mpaka Uhispania na nitakwenda kwa njia ya dhau mpaka Afrika ya kaskazini. Pale Afrika kaskazini, ningekwenda kusafiri nchi ya Egypt. Ningekuwa na furaha sana kutembelea Egypt, kwa sababu ninapenda kusoma kuhusu Egypt tangu nilipokuwa mtoto mdogo. Halafu, ningependa kurudi Tanzania, na kutembelea Kenya na Uganda pia, kwa sababu sijawahi kutembelea Kenya au Uganda. Halafu, kama Cheka, ningependa sana kwenda chini mpaka Afrika Kusini, kutembelea nchi nyingi sana njiani. Safari hii itakuwa poa kabisa, na ninatumaini sana kwamba nitaweza kwenda safari hii siku moja.
-Furaha
Ninfikiri ni rahisi zaidi kusema ambapo nisingependa kusafiri. Nisingependa kwenda Ucanada tu. Ni baridi sana na nisingefuraha. Kama ningeweza ningetaka kuzunguka Afrika kwa basi kuona ardhi yote. Ningetaka kutumia mwezi sita kuanza katika Afrika ya Magharibi labda katika mji wa Dakar na kwenda Mashariki na halfu Kusini kuona Afrika Kusini, na halafu kusafiri Botswana kuona Okavango Delta na Zambia kuona Victoria Falls (ambapo nitaruka kwa bungee kiangazi hii), nigeenda kuona Lake Malawi na halafu Afrika ya Mashariki. Hii ingekuwa safari nzuri kabisa lakini sitakuwa mwezi ya kutosha kwa hivyo kiangazi hii nitafanya kidogo.
Nitaenda Afrika Kusini muhula ujau baada ya nimeenda Morocco wakati wa likizo. Baada ya shule za pale, Cape Town, nitaenda Zambia, Botswana, na Namibia. Halafu nilisikia wiki iliopita kwa nimeshinda kazi katika Accra, kwa hivyo nitaenda Ghana ambapo nitasafiri kuona Togo na Benin. Kiangazi kitakuwa nzuri sana, karibu sana na safiri ningeipenda.
Post a Comment