Wiki hii, nataka kujua aina za sanaa mnapenda kufanya. Pia, ni aina ya sanaa gani mnapenda sana kuona au kusikia? Mimi hupenda kupiga picha za watu na wanyama na dunia. Siwezi kuifanya kila wiki kwa sababu shule ni ngumu, lakini kama unaniona kwa likizo fupi zangu utaona mimi pamoja na kamera yangu. Aina ya sanaa napenda zaidi ni kwenda kuona sinema za kimataifa, na pia napenda kuona picha za wapigapicha wengine.
Zuri
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
4 comments:
Pengine, leo babangu nami tutaenda makumbusho ya sanaa yanayoitwa MOMA. Sijaenda pale, lakini nilienda makumbusho yanayoitwa DeYoung.
Nafikiri Zuri nami tunakubaliani kwa sababu ninapenda picha pia, hasa zinazo rangi ya nyeupe na nyeusi. Pia napenda sanamu zilizochongwa.
Kama Zuri na Marua, napenda sana kuangalia picha za watu, wanyama, na sehemu mbalimbali duniani. Mimi, lakini, siwezi kabisa kupiga picha zuri mwenyewe. Badala ya kupiga picha, sanaa ambayo napenda kuchora picha na rangi. Napenda hasa kuchora picha za kisasa, bila vitu ambavyo ungeweza kutumbua kwa rahisi. Napenda sana kwenda makumbusho ya sanaa ya kisasa. Nilipotembelea Ufaransa, nilienda kumbusho moja anayoitwa "Musee D'Orsay." Hapo, niliona kazi za sanaa nyingi. Nilipenda sana wasanii Matisse na Gauguin. Walitengeneza kazi za sanaa za kisasa ambazo zina rangi nyingi nguvu sana.
Kama watu wameshasema, mimi napenda kupiga picha sana, lakini kwa aina za sanaa kabisa, mimi napenda kuchora picha na pia kuweka rangi. Wakati nilikuwa katika shule ya secondari, nimependa sana kuchora na pia kufanya "sculpture", lakini hapa Stanford sijapata nafasi kufanya vitu vya sanaa sana. Hapa Stanford, nafanya "improvisational theater" tu kama sanaa tu.
Kitu ambacho unapenda bora kufanya nje ya darasa...
Hamjambo wote! Wikendi hii nilienda katika "campsite" karibu na La Honda pamoja na marafiki wengi kuwa na "counselor retreat" kwa Camp Kesem. "Camp Kesem" ni jina la kambi ambapo ninafanya kazi kila mwaka. Kuna watota mia moja na hamsini na "counselors" (wote ni wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Stanford) sitini ambao wanakuja kambini kwa wiki moja tu kila mwaka. Watoto wote wamekuwa na angalau mzazi mmoja ambaye amekuwa na au ana kansa. Ni wiki muhimu sana kwa watoto na sisi wanafunzi wa chuo pia. Tunakuwa marafiki kwa kweli.
Tangu nilipofika katika Stanford, kambi hii ni kitu ambacho kinapendwa nami zaidi ya shuguli nyingine. Wakati nitaacha kuwa mwanafunzi ya Stanford, nitasikitika sana kwa sababu sitaweza kurudi katika "Camp Kesem."
Na ninyi? Nini ni shuguli kwamba unapenda kufanya bora zaidi nje ya darasa?
Usiku njema na tutaonana kesho!
~Upendo
Post a Comment