Monday, November 10, 2008

Filamu ambazo mnapenda bora zaidi?

Tumeshajadili aina mbalimbali ya fasihi. Lakini, aini tofauti ya sanaa ni filamu. Mimi, sijui sana kuhusu sanaa ya filamu na sanaa ya kupiga picha za sinema, lakini napenda sana kuangalia filamu tofauti tofauti. Je, mnapenda kuangalia aina gani za filamu bora zaidi? Mimi, napenda filamu za kitendo bora zaidi. Kwa hivyo, nimefurahia sana kwa sababu wiki hii, filamu mpya ya James Bond itafungua sinemani. Nimefurahia sana kwa sababu napenda sana filamu zote za James Bond, na pia napenda mchezaji mpya wa James Bond - mchezaji mwiingereza anayeitwa Daniel Craig. Napenda filamu za kitendo kwa kawaida, lakini ni muhimu sana kwangu kuwa kuna ishara ya mapenzi pia. Nitaenda kuangalia filamu hii Alhamisi katika saa sita ya usiku! Je, mnapenda filamu za kitendo pia? Au mnapenda aini tofauti kabisa?

Tutaonana kesho,
Furaha

2 comments:

Kate said...

Asante sana Furaha, kwa kuandika kuhusu sanaa ya filamu. Kwanza, nilitaka kusema kwamba nipenda kuangalia filamu za kitendo pia, na nimefurahi sana kusikia filamu mpya ya James Bond inaanza Alhamisi - ningetaka kuja nawe, lakini alhamisi ni jioni ya wanafunzi wa mwaka mwisho na tutaenda Palo Alto kusherekea pamoja. Baada ya kufikiri kuhusu maswali yako, nimeamua kwamba napenda kuangalia filamu katika babu za kinyago na upendo. Katika Kiingereza, ungesema "Romantic Comedy" (nilijaribu kuandkia maneno haya katika Kiswahili lakini nafikiri kusema "kinyago na upendo" yanahitaji kuongoliwa). Kwa mfano, nilipenda sana filamu za "Wakati Harry Alikuwa na Mkutano na Sally" na "Mwanamke Mrembo" na mwigizaji wa Julia Roberts. Pia, napenda kuona filamu za "mchezo ya kuigiza" (drama) kwa sababu nafikiri kwamba ni mzuri sana kuwa na kilio kikubwa kila mwezi.

-Katempa

Zuri said...

Mimi pia nafikiri nitaenda kuona James Bond wikendi hii. Kwa kawaida napenda filamu za aina tofaouti tofauti, lakini zaidi ya filamu, napenda sanaa za juu. Fotographia, sanamu, na vitu virembo pale makumbusho ya sanaa.

Kati kati ya kazi tofauti, napenda kuwa msanaa ya vitu hivyo - kupiga picha, kupaka rangi, na kutengeneza vitu virembo. Nafurahi sana kwa sababu shahada yangu hapa chuoni ni kuhusu kutengeneza vitu, lakini sina nafasi hapa Stanford kupiga picha au kupaka rangi.

Unapasa kuwa na pesa kuifanya vitu hivi na kwa hivyo naweza sasa tu kuona kazi za watu wengine. Hii si shida kubwa kwa sababu mimi ni mwanafunzi tu na mimi napenda kusoma sanaa baada ya madarasa yangu.