Thursday, October 9, 2008

Kuhusu Kazi

Wiki hii tulizungumzana kuhusu kazi. Watu wengi wanafikiri kazi ni kazi, na maisha kweli inaanza baada ya masaa unapasa kufanya kazi. Watu wengine wanasema ni nzuri kufanya kazi kali kabisa kwa sababu baada ya kazi unapesa nyingi kulipa kusherehekea. Watu wengine wanasema ni muhimu kusherehe kabisa bila kufanya kazi. Pia, kuna watu ambao wanafikiri wakati unafuata kazi unataka kufanya utafurahi kabisa na kwa hivyo pesa si muhimu. Je, unafikiri nini kuhusu kazi yako? Na unafikiri unataka kubadili kazi yako kufanya vitu tofauti au hapana?

Mimi, kwa kawaida napenda kazi yangu. Na bahati na penda kazi yangu kwa sababu mimi ni mwanafunzi na kwa hivyo napasa kulipa pesa kufanya kazi! Mara kwa mara, sipendi kazi yangu. Kama naweza kubadili kazi yangu sikuandika insha. Kama naweza, nataka kujenga vitu vya urembo na kuishi kijijini. Nasikitika kidogo kwa sababu nafikiri ni baada ya miaka mingi tu naweza kuifanya.

Zuri

3 comments:

Kate said...

Nafikiri vitu vizuri sana kuhusu kazi kwa ujumla, na kufanya kazi unaposoma shuleni. Mimi ni mtu ambaye nimefanya kazi kidogo sasa kwa fedha, nje ya kazi yangu kwa chuo kikuu cha Stanford. Yaani, nimefanya utafiti kwa mwalimu mkuu wa West Point (shule ya jeshi katika jimbo la New York) kuhusu ugaidi. Kazi hii ni nzuri sana kwa sababu ni muhimu kwa watu wa Marekani kuwa na usalama katika maisha wao. Kujibu ikiwa nataka kubadili kazi yangu, nimefikiri ndiyo. Ni nzuri kufanya kazi hii sasa, katika Stanford, lakini baada ya Stanford napenda kusafiri na halafu kusoma zaidi kabla ya kuanza shughuli yangu. Sijui kazi nitayefanya kwa maisha yangu sasa (mimi ni ishiniri tu...mimi ni mtoto katika picha mkubwa) lakini najua kwamba kupata shahada la Stanford litanisaidia kufanya vitu vizuri sana kwa watu wa dunia hii...na kuna vitu mengi vinavyohitaji watu hodari kusaidia--kama mimi na rafiki zangu. Nimefikiri vitu hivi (vitu nilivyoandika) kuhusu kazi...yaani sifikiri "kazi ni kazi" tu. Kazi inaweza kuwa muhimu sana!

claire said...

Kwa maoni yangu, mimi nakubali na Zuri kwamba ningependa sana kazi yangu sasa ya kuwa mwanafunzi. Uzuri wa kazi ya mwanafunzi ni kwamba kwa kweli una nafasi kupeleleza mada nyingi sana kabla ya unahitaji kuchagua moja tu. Ugumu kwa mimi ni kwamba kazi hii hajamaliza kwa kweli: kila mara, kuna vitua unavyohitaji kuvifanya, kama kazi za nyumbani kwa kila darasa, kusoma kwa mitihani, na kadhalika. Mara kwa mara, nimechoka sana ya kusoma, hasa kama unasikia kama unasoma kwa muda mrefu sana na sijali kwa sababu masomo ni magumu sana kueleza (kama chemia!). Lakini, kwa jumla, napenda sana kujifunza na kazi ya mwanafunzi kwa jumla. Ni sababu moja kwa nini nimefurahia kwenda shula ya tibu -- nikisoma kuwa daktari, nitakuwa na miaka mingi sana zaidi kusoma na kujifunza! Kwa sababu sawa sawa, nafikiri kwamba kazi ya daktari ingenipa furaha sana. Kazi ni muhimu na pia ni kazi ya kupendelea kwa mimi kwa sababu nimefurahia sana kujifunza na (siku moja, na bahati) kuponesha wagonjwa ambao wana ugonjwa wa kuambukiza. Uzuri wa kazi hi kwa mimi ni kwamba sitajitaji kwa kweli kuchagua kati ya furaha na pesa. Ningefurahi sana kuwa daktari, na pia unaweza kupata pesa za kutosha katika kazi hii. Hii hapa ni bahati nzuri sana.

-Furaha

Kusai said...

Ninakubali na nyinyi. Ninafikiri kazi inaweza kuwa zuri au baya. Inategemea kwa nini tunafanya kazi na aina gani ya kazi. Kiangazi juzi nilifanya kazi na idara ya ukulima katika jiji la Washington DC na sikupenda kazi yangu kwa sababu ilikuwa chovu sana. Nilienda ofisini kila siku na nilikaa katika chumba changu kufanya kazi na kompyuta na kila nilifikiri wakati nilikuwa juu ya gari la moshi, "Sitafanya kazi ofisini tena."

Sasa kila mwandamizi wa Stanford anahitaji kupata kazi kufanya baada ya shule. Ninajua ningetaka kufanya kitu tofauti sana na marafiki yangu. Nimeanza kujaribu kuunga jeshi yetu kama afisa. Ninafikiri kazi hii inaweza kuwa ya kusisimua na ujuzi zuri sana. Sikuamua kabisa kwa sababu si tayari kusema ninataka kufanya kazi hii mpaka nina umri ishirini na tano (na nitahitaji kuisema kuunga).