Kila wanafunzi katika darasa letu ametembelea Afrika ya mashariki kwa hivyo kila mtu ana hadithi za kuchekesha nafikiri.
Ninaweza kuanza na hadithi moja katika Zimbabwe. Nilienda Zimbabwe kabla ya uchaguzi na niliendesha kati ya Harare na Bulawayo (mji kubwa wa MDC). Kama kawaida pale Afrika, kuna polisi nyingi kando ya barabara na wanazuia kila gari wakati wanafikiri wanaweza kupata pesa au kupata vitu vya upinzani yao. Kwa kivyo nilizuiwa kila wakati niliona polisi kwa sababu mimi si mwafrika na wanajua labda nina pesa na nitalipa. Polisi moja, baada ya kujizuia barabarani, alisema nilihitaji kuwa na leseni ya Zimbabwe kuendesha na itakuwa ada kubwa. Nilisema leseni yangu ilikuwa ya kutosha kuendesha pale na sikuenda kulipa. Halafu alianza kutafuta gari langu wakati nilichungwa na polisi mwengine. Halafu kiongozi cha polisi ambaye alikuwa na bundee kubwa alijaa na alijiona na aliguta, "Wewe ni Peter Crouch!" Nilisema tu, "Mimi si Peter Crouch, jina langu ni Marcus" na alisema "Hapana najua wewe ni Peter Crouch, hamna shida, unaweza kuendelea." Halafu polisi yao walisimama kutafuto na niliondoka bila kulipa.
Baada ya kuondoka Zimbabwe nilijifunza Peter Crouch ni mchezaji maalum wa soka katika Uingereza, na alifanana mimi (labda). Kwa hivyo kiongozi cha polisi alifikiri mimi nilikuwa mchezaji wa soka. Tangu Zimbabwe nimevurugwa na Peter Crouch katika Afrika mara tatu tofauti na kila mara mtu anajiomba kusaini vitu vyao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
4 comments:
Nilichekea hadithi yako Kusai, asante sana. Sijui ikiwa naweza kuambia hadithi ya Afrika ya Mashariki kwamba ni mzuri kama wewe, lakini nitajaribu.
Nilipofanya kazi na wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kambini ya Mwange, kulikuwa watoto wengi waliokimbia kama kambi. Kila asubuhi, niliamka nakatembelea Mwange. Nilipofika, watoto wangekujia mimi na wangeimba: "Wewe ni mzungu, cheza ngoma mzungu, cheza ngoma mzungu, tunataka kuona ngoma yako." Ningejibu "Hapana, enda!" kwa sababu walikuwa wakikuwa visumbufu. Kwa kawaida, baada ya kuniona, watoto wangenfuatia mahali ya kazi yangu.
Siku mmoja, niliamua kuwastarehesha watoto hawa. Wanapoimba wimbo wao, niliamua kucheza ngoma. Hakuna muziki, lakini hakuna shida. Kwa ghafla, ningependa kwa cheza ngomo kwa watoto wangu! Na ningetaka kusema - kweli nilicheza ngoma mkali sana! Mama na Babu nyingi walikuja kuniangalia. Watoto walifurahia sana, na walijaribu kucheza ngoma nami, lakini hawawezi kucheza ngomo harakaharaka kama niliweza. Kwa hivyo, kwa sababu niliamua kucheza ngoma na watoto hawa, kwa siku asubuhi watu wote walifurahia sana.
Nimefurahi sana kusoma hadithi za Kusai na Katempa! Mimi pia, nina hadithi ya kuchekesha, kutoka wakati nilipokaa Arusha kwa mara ya pili (kiangazi juuzi). Kama mnajua, napenda sana kujadiliana juu ya bei, hasa na madereva wa teksi. Kiangazi hiki, kila dereva angaliniambia, "Samahani, mafuta imepanda!" nilipouliza kwa nini bei zilikuwa juu sana! Ningalijibu, "Mimi si mtalii. Najua bei nzuri! Fanya biashara!" nk. Mara moja, nimechoka sana na nilitaka kurudi hoteli. Nilimpata dereva moja na sikutaka kujadiliana juu ya bei. Lakini, aliniambia bei ya teksi kwenda hotelini ilikuwa shilingi elfu mbili. (Nilijua, lakini, kwamba bei ya kweli ilikuwa elfu moja tu.) Nilimambia hivyo, na aliniambia kumlipa shilingi elfu moja na mia tano. Nilicheka sana, na kwa mwisho nilimambia ningemlipa, badala ya elfu moja na mia tano, elfu moja na hamsini tu. Alianza kuchecka pia, na aliniitwa mjanja, lakini alinibali. Na nilikuwa na furaha sana!
Nakumbuka siku za kwanza Afrika ya Mashariki, nilishangaa wakati watu waliniambia “pole.” Nilijua, bila shaka, kwamba watu wanasema “pole” kama “sorry,” lakini nilikuwa sikufahamu vizuri kwamba pale, ni tofauti. Hapa, ukimwambia mtu “sorry,” ni kusema unamrehemu. Hatupendi wakati watu wanatuambia “sorry,” kwa sababu hatupendi kuwa chini, ama kuwa na shida ambazo watu wote wanaweza kuona. Basi nilishangaa wakati watu ambao sikuwajua waliniambia “pole” na nilikuwa karibu na kukasirika, lakini sikusema kitu chochote kwa sababu najua kuna tofauti nyingi kati utamaduni yangu na yao. Baada ya wiki nyingine, nilifahamu watu wanasema “pole” kama kitu kizuri, na siyo kwamba walikuwa walinirehemu. Sasa, najua na nisikasirika nikiambiwa “pole.” Naitumia hata na marafiki zangu hapa marekani, lakini ni lazima nawaeleza “pole” ni nini--kwa sababu wao, wakiambiwa ni “sorry” tu, watakasirika pia!
ENYI WAZUNGU MLIOTEMBELEA AFRICA MASHARIKI NIMEZIPENDA SANA HADITHI ZENU NI NZURI NA ZINAVUTIA>>HAKIKA NYINYI MNAJUA VIZURI SANA KISWAHILI>>KULIKO WATU WENGI TU>>KARIBUNI SANA AFRICA MASHARIKI NI KUZURI NA KUNAVUTIA> MUNGU IBARIKI AFRICA>>MUNGU IBARIKI TANZANIA
NI MIMI ELIA ABEL MWALUKALI
elaijaelia@hotmail com
Post a Comment