Tuesday, November 6, 2007
Mbuzi
Kama unatake kununua mbuzi hapa mji wa Stanford unaweza kwenda mpaka Santa Clara. Pale, katika njia ya El Camino Real kuna biashara inaitwa Taj Mahal Exports. Anwani ya biashara hii ni 3087 El Camino Real, Santa Clara, California 95051. Pia, unaweza kupiga simu yake: (408) 248-5025. Ninapenda kula mbuzi sana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment