Tuesday, November 6, 2007

Wiki yangu ya kazi

(Unaweza kuona kwa sasa nimegundua jinsi kuandika kuhusu blogu yetu)

Ilikuwa wikendi nzuri kabisa na sasa ningeweza kununua bia na kutembelea mabaa kama ningetaka. Wikendi iliopita sikufanya kazi kwa sababu nilihitaji kuwa na kaka yangu wakati alinitembelea na sasa kuna kazi sana kufanya kabla ya Alhamisi. Sijui kama nitaweza kuimaliza kabisa lakini labda kama nina bahati njema.

Alhamisi nitaondoka kutembelea Philadelphia na Timu ya "Model United Nations". Kuandaa nimesoma sana kuhusu Jamuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa sababu nitajadili na wanafunzi wa vyuo vikuu kumi na mbili tofauti kuhusu historia ya nchi hii na Lumumba na Mobutu Sese Seko. Itakuwa mgumu kabisa kwenda kwa sababu nina kazi ya nyumbani sana katika madarasa yangu yote lakini ninafikiri nitafurahi.

1 comment:

mohochi said...

Je,

safari yako ilikuwa njema? Uliweza kujadili kuhusu Kongo vizuri? Tuambie kuhusu mijadla yenu.