Hamjambo? Nimefurahi sana kuanza darasa letu tena, na pia kuanza kusoma riwaya na vitabu vingine vinavyoandikiwa waandishi wa kiswahili. Lakini, kwa mada hii, ningependa kuzungumza kuhusu mwaka ujayo. Je, mntafanya nini mwaka ujayo? Mkimaliza hapa Stanford, mntaendelea kusoma, kupata shahada ya pili, au sio? Kwa watu hamtamaliza, mmefurahi kufanya wakati wa likizo ya kiangazi? Kwangu, sijui kwa sasa nitafanya mwaka ujayo, lakini najua ningependa kurudi Afrika, na hasa ningependa kurudi Afrika Mashariki au sehemu ambapo watu wanaongea Kiswahili. Ningependa sana kuendelea kufanya kazi ambayo inafanana na kazi yangu na SIC -- nilipofanya kazi kwa SIC, nilifundisha kuhusu UKIMWI na VVU kijijini na niliwasaidia watu wa vijiji kupanga siku za kupima, na kadhalika. Ningependa sana kufanya kazi pale na shikira ambayo inasaidia watu wameshaoambukizwa na VVU na familia zao. Nina tumaini kwamba nitapata nafasi na kazi nzuri!
Furaha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Hujambo Furaha na marafiki wengine. Asante kwa maneno yako, Furaha. Pia nimefurahi sana kuendelea kusoma riwaya ya Kiswahili. Kujibu maswali yako, sijui nini nitafanya baada ya napata shada yangu ya Stanford. Lakini, najua kwamba si tayari kuendelea kusoma kwa shada ya pili mwaka ujao. Nahitaji wakati kusafiri, kufanya kazi mdogo labda...
Sasa, najua baada ya Stanford nimeenda Afrika ya Mashariki kufanya kazi kwa LMEF - ushirika wa Mwalimu Mohochi (tunaweza kuzungumza hii darasani ikiwa wanafunzi wanahitaji), kwa miezi michache. Huko nitafundisha Kiingereza darasani na wanafunzi wanaojua Kiswahili tu. Nimefurahi sana kwa ujuzi huu! Baada ya kufundisha kidigo, napenda kupanda Kilimajaro na rafiki yangu. Aidha,labda nitaenda Israel kwa mwaka mmoja kufanya kazi, au nitaenda mji wa Washington DC kufanya kazi kwa Rais Obama (yaani, ikiwa naweza kupata kazu nzuri), au pengine nitakaa katika Afrika ya Mashariki. Sasa, sijui mipango yangu. Kwa sababu nimemaliza harakaharaka, nimetukuta kidogo. Lakini nafikiri vitu vitakuwa sawa katika mwisho.
Sijui kwa sasa, lakini nitajaribu kupata kazi nzuri nje ya Mmarekani pia. Kweli nitajaribu kuwa ofisa ya US Marines, lakini sijui sasa kama watajikubali kwa sababu ni mgumu sana. Ninataka kuama Marines kwa sababu ninafikiria kazi yao ni muhimu sana na ningetaka kuwasaidia. Pia ni kazi nzuri, kuna mshahara kubwa, na ninaweza kusaidia na miradi ya maendeleo katika Afghanistan na Iraq. Kweli sitaki kupigana watu wengine lakini sihitaji, ninaweza kufanya kazi kusaidia Waafghanistan na Marines bila kupigana. Ningetaka sana kufanya kazi kusaidia na AFRICOM, makao ya jeshi yetu katika Afrika ambaye itafanya kazi nyingi za maendeleo.
Pia nitajaribu kuwa mtafiti katika Afrika au nitafanya PeaceCorps. Tutaona.
Post a Comment