Ninafikiri kwa utoji (presentation) yenu tutazungmza kuhusu mwanafunzi mmoja Mkenya. Mwanafunzi huyu atakuja hapa kwa chuo kikuu cha Stanford na atakuwa na shida kwa sababu kuna mila tofauti ya Kenya. Je, mnafikiri hii ni utoji sawa?
Nafikiri itakuwa utoji safi sana. Labda, ni lazima tunatoa rai wazo fulani mbalimbali, na halafu tunaweza kuchagua nani angependa kuandika onyesho gani. Mnafikirije? Kama tulizungumza darasani wiki iliopita, napenda wazo kwamba mwanafunzi Mkenya anafikiri kuwa kila mtu atavaa sare ya shule, lakini anapokwenda darasani kuvaa sare, watu wengi watakuwa shangaa sana. Wazo zingine?
Sawa. Hii hapa haitafuata, lakini sijali sana. Wikiendi yangu ni nzuri sana. Jana usiko, nilisaidia kupanga sherehe kidogo kwa watu wa kujitolea wa SIC, ambao walifanya kazi kama walimu wa VVU na UKIMWI kiangazi hiki nchini Tanzania. Sherehe ilikuwepo kwetu, na ilikuwa ya kururahia, hasa kuona na kuzungumza na watu mbalimbali ambao sikuwaona tangu nilirudi chuoni. Pia, nimefurahia leo kwa sababu nitakwenda kusikia Paul Farmer, daktari ambaye alianza Partners in Health, leo jioni. Itakuwa poa kabisa! Sawa. Wikendi njema wote, na tutaonana jumatatu.
Siwezi kuanza mada mpya mwenyewe, kwa hivi nitaendeleza kuandika kuhusu mada ya Zuri. Samahani! Nilenda kuona Paul Farmer jana usiku, na ilikuwa safi sana! Nikumpenda sana, kwa sababu anafanya kazi nzuri sana katika nchi mbalimbali ambapo watu wengi ni maskini, na wanahitaji dawa na kitu chochote kwa kweli kuna afya bora. Sasa hivi, wewe na shirika yangu, ambayo inaitwa Partners in Health, wanafanya kazi nchini Rwanda - kutengeneza hospitali na kupa dawa na kadhalika. Nilikuwa na furaha sana kumona, na ningependa kufanya kazi na Partners in Health mwaka ujayo.
Mimi ninakubali na ninyi kuhusu utoji yetu. Ninafikiri pia tunaweza kuwana Mkenya kupanda katika basi au teksi hapa kama ilikuwa daladala (nimesahau neno katika kiswahili cha Kenya) na watu wengi. Labda anahitaji kwenda haraka haraka kunywa chai na rafiki wake lakini halafu mwendesha anapiga gari tofauti kwa sababu alihitaji kuangalia Mkenya juu ya gari lake.
au
Labda anaenda dukani na anafikiri vitu vyote ni ghali sana kwa hivyo anaanza kuzumgumza na mtu ambaye anafanya kazi dukani kushika bei.
4 comments:

~Furaha

Tutaonana kesho (asubuhi sana!)

Ninafikiri tunaweza kufanya sana na wazo hii.
Kesho jioni tutapiga gumzo kuhusu utoji. Asante kwa wazo hii. Ninafikiri itakuwa utoji kali kabisa.
Post a Comment