Friday, November 2, 2007
Darasa moja langu la shida
Mimi si mwandishi. Kwa kawaida sipendi kuandika insha, lakini kwa darasa moja langu, sipendi kabisa! Darasa hili ni kuhusu uhandisi na tunapasa kuandika insha kila wiki katika vitu vya uhandisi. Mwalimu wa darasa hili hawezi kufunza yenu nzuri. Anasema tu "andika"! Sasa ninapasa kuandika insha kwa juma tatu lakini sijui jinsi kuandika. Ni shida. Mwalimu huyu anasema insha yangi si nzuri, lakini kila wiki hasemi jinsi kuandika bora.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
4 comments:
sijui jinsi gani kuandika "post" mpya, kwa hivyo ninahitaji kuandika chini ya Zuri.
Nitakuwa na sherehe wikendi hii kusherekea siku ya kuzaliwa yangu. Nyinyi mnaweza kuja kama mnataka na hamtakuwa na kitu kufanya kesho usiku. Itakuwa katika Mirrielees, chumba mia nne na hamsini na tatu baada ya saa nne.
Ninafurahi kwa sababu kaka wangu ameja kusherekea na mimi pamoja. Anaishi katika Albuquerque, mji poa kabisa. Hakutoka Seattle kwa sababu yeye ni mkali na poa. Tutakunywa bia nyingi sana na mngeja ningefurahi kabisa (wewe pia mwalimu).
Labda, nitakuona kesho.
Kwanza kabisa, pole sana Zuri kwa shida yako kuhusu insha. Mimi nashauri kuwa ni vizuri umuulize mwalimu wako wa uhandishi jinsi anataka muandike insha. Usiendelee kupata shida bila kusema.
Kusai, nakutakia sherehe njema hapo kesho. Asante sana kwa kunikaribisha lakini nitakuwa na shughuli nyingine kesho. Msalimu sana kaka yako na mwambie ninyi ni wanafunzi wakali sana. Jumatatu tutaongea kuhusu jinsi ya kuandika "post" mpya.
Siku yangu leo ilikuwa nzuri. Nimefanya kazi ya kusoma halafu nikaenda mjini Palo Alto kuona mpira wa kandanda baina ya Arsenal na Manchester United. Aidha, nilikunywa Tusker mbili pale. Usiku mwema.
Kwa kweli, ilikuwa vigumu sana kwa mimi kupata njia kuandika katika blogu yetu. Lakini, naweza sasa, kwa sababu rafiki yangu alinisaidia kutengeneza akounti mpya ya barua pepe katika "gmail."
Mimi pia, ninahitaji kuandika insha ambayo inahitaji kumalizwa kesho. Nimeshaanza kufikiri kuhusu swali ya insha, lakini sijaandika kitu chochote bado. Pole kwa mimi!
Wikendi yangu ilikuwa nzuri sana. Jana usiku, badala ya kwenda sherehe ya "Moonsplash" (ambayo ni sherehe kubwa sana kila mwaka katika bweni la Sigma Nu), rafiki yangu na mimi tulienda cinema kuangalia "Into the Wild." Ilikuwa filmu ya hunzuni, lakini niliipenda sana.
Sawa. Nahitaji kufanya kazi kuhusu insha yangu. Nitaandika tena sasa kesho kutuma habari na kusema insha yangu inaendeleaje.
Tutaonana kesho!
Furaha
Furaha,
Karibu katika blogu ya wanafunzi wakali. tunafurahi kuona kwamba sasa unaweza kushiriki. Ninakutakia maandalizi mema ya insha yako.
Usiku mwema kwenu wote.
Post a Comment